
Mwenyekiti mpya - Khamis Sadifa Juma

Katibu Mkuu wa UVCCM Martine shigela akimkaribisha meza kuu Khamis Sadifa Juma baada ya kutangazwa mshindi

Mjumbe
wa Kamati Kuu, Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akiwa na Mwenyekiti mpya wa
UVCCM, Khamis Sadifa Juma na Makamu Mwenyekiti UVCCM, Mboni Mhita baada
ya viongozi hao wapya wa Umoja huo kutangazwa kuwa washindi leo katika
uchaguzi mkuu wa UVCCM uliofanyika jana mjini Dodoma
Dk.
Sheni akimpongeza Khamis Sadifa Juma, baada ya kutangazwa Mshindi wa
kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa, katika uchaguzi uliofanyika jana
mjini Dodoma. (Picha na Bashir Nkoromo).

Aliyekuwa
Kaimu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa akimpongeza Khamis Sadifa Juma,
baada ya kutangazwa Mshindi wa kuwa Mwenyekiti mpya wa UVCCM Taifa,
katika uchaguzi uliofanyika jana mjini Dodoma.
WAJUMBE NEC
Jerry Silaa
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya
Deo Ndegembi
Anthony Mavunde
Jonas Nkya
Chanzo - http://www.jamiiforums.com
No comments:
Post a Comment