Huyu Ndiye Askari Polisi Anayetuhumiwa Kumuua Mwangosi.
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Pacificus
Cleophase Simon mwenye namba G2573 ambaye anadaiwa kumuua Mwandishi wa
Habari, Daudi Mwangosi katika kijiji cha Nyololo, Mufindi akiwa amekaa
kwenye benchi muda mfupi kabla ya kula kiapo chake kwa Mlinzi wa Amani
kabla hajafikishwa mahakamani.
Chanzo: millionfortune.blogspot.com
No comments:
Post a Comment