Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, October 25, 2012

Tsh. 500 inaweza kuleta mabadiliko kwa maisha ya mwingine, changia sasa badili maisha ya Ally Habibu Kieki..Jina Kamili: Ally Habibu Kieki

Kuzaliwa: 1981

Kabila : Mmatumbi
Hali ya Ndoa : Ana mke na watoto 2
Ally Habibu Kieki
Historia
Tarehe 6 mwezi Januari  mwaka  2009 ni siku ya historia kwa ndugu yetu  Ally Habibu Kieki mkazi wa Mbagala Kipati aliyekuwa  akifanya biashara zake maeneo ya Chanika Msumbiji. Ally  kwa kipindi hicho alikuwa akifanya biashara ya  Malimao, Machungwa na mihogo huko Chanika na kuuza bidhaa zake katika masoko  ya Ilala na Buguruni.
 

No comments:

Post a Comment