Esther Charles
Hiki ndicho alichokiandika Esther kwenye wall yake ya facebook "Namshukuru
sana Mungu kwa kunipa uhai mpaka siku hii ya leo ambayo ni kumbu kumbu
yangu ya kuzaliwa, kubwa zaidi namshukuru Mungu kwa kuniumba mie Kama
Esther na kuniumba mtoto wa kike, najivunia kuwa Esther nafarijika sana
kuwa Esther,naam
ini kwa uwezo wa Mungu
nitaendelea kuwa Esther,pia nawashukuru sana wazazi wangu kwa kunilea
ktk maadili mema ya kumpendeza Mungu pamoja na wanadamu japo sijafikia
kiwango ila nashukuru sana, nawashukuru sana nanyi rafiki zangu kwa kuwa
nami bega kwa bega hapa Fb Mungu awabariki sana, mie binaadamu ambae
nimeumbwa kwa udogo na roho ya nyama sijakamilika hata kidogo huenda kwa
njia moja au nyingine kwa kipindi hiki cha mwaka mzima nimewakwaza
naomba mnisamehe sana coz nawapenda na nitaendelea kuwapenda."
Uongozi wa mtandao huu wa www.kingjofa.blogspot.com unakutakia maisha marefu na yenye furaha tele dada Esther Charles.
No comments:
Post a Comment