Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, November 10, 2012

MKURUGENZI WA CIA AJIUZULU KUFUATIA KUWA NA MAHUSIANO NJE YA NDOA...!

Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA David Petraeus (pichani) amejiuzulu nafasi hiyo.
Katika taarifa yake kwa maafisa wa CIA, Mkuu huyo waIidara ya Upepelezi wa Marekani amekiri kuwa na mahusiano nje ya ndoa yake, na kukielezea kitendo chake hicho kama kisichokubalika kwa kiongozi wa upelelezi.
Katika tamko lake Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa amakebali kujiuzulu huko na kusema kuwa Petraeus ni mmoja kati ya maafisa bora wakuu wa kizazi hiki.
chokubalika kwa kiongozi wa upelelezi.
Katika tamko lake Rais Barack Obama wa Marekani amesema kuwa amakebali kujiuzulu huko na kusema kuwa Petraeus ni mmoja kati ya maafisa bora wakuu wa kizazi hiki.

No comments:

Post a Comment