Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, January 2, 2013

BREAKING NEWS... SAJUKI WA BONGO MOVIE AFARIKI DUNIA ....!


Juma Kilowoko maarufu kama SAJUKI.SAJUKI alipokuwa hospitali.

Aliyekuwa Msanii maarufu katika Tasnia ya Filamu nchini Juma Kilowoko maarufu kama ’SAJUKI’ aliyekuwa akisumbuliwa na maradhi ya muda mrefu amefariki dunia leo alfajiri katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Kwa mujibu wa Katibu wa chama cha waongoza Filamu Wilaya ya Ilala, Rajabu Amiri hivi karibuni Sajuki alikuwa anasumbuliwa na tatizo la upungufu wa damu.


Uongozi wa www.kingjofa.blogspot.com: Tunawapa pole Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania wote kwa kifo cha Mpendwa wetu Marehemu SAJUKI wengi tulimpenda ila Mungu kampenda zaidi.

Kwa taarifa zaidi kuhusu SAJUKI endelea kutembelea mtandao wa www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment