Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, January 9, 2013

VURUGU ZATAWALA KATIKA MAZISHI YA MWANAMUZIKI OMAR OMAR...!



Baadhi ya wasanii wakibadilishana mawazo kabla ya mazishi.



Waombolezaji akina mama.


Dully Syaks (katikati) akiwa na mapacha Sunche na Kapeto.


Baadhi ya wanamuziki wa kizazi kipya.


Mlevi nmmoja akicheza mbele ya waombolezaji.


Mwili wa marehemu ukisaliwa nyumbani kabla ya kupelekwa makaburini.


Umati ukiwa tayari kwenda makaburini.


Vurugu zikiendelea wakati wa kwenda kuzika.


Vijana waliosababisha vurugu
wakisukumana.
--------------------------------

MWANAMUZIKI mkongwe wa miondoko ya mnanda, Omar Omar Mfungilo, ambaye alifariki usiku wa kuamkia Jumatatu nyumbani kwao Temeke-Mkoroshini amezikwa leo katika makaburi ya karibu na nyumbani kwao.

Mazishi hayo ambayo yalihudhuriwa na watu wengi, yalitawaliwa na vurugu ambazo zilisababisha baadhi ya waombolezaji kuporwa vitu vyao kama simu, pesa, saa na vitu vingine.

Wakati wa kwenda kumzika, vijana waliojiita ‘kikosi kazi cha mazishi’ waling’ang’ania jeneza lililobeba mwili wa marehemu na kulipeleka wao makaburini huku baadhi yao wakifanya vitendo vya uporaji njiani wakati wa kwenda kumzika.

No comments:

Post a Comment