Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, February 3, 2013

MOTO MKUBWA WAZIDI KUENEA KATIKA JENGO LA PPF TOWER POSTA MPYA

Jengo refu la "PPF Tower" ambalo linaungua moto muda huu, vyombo husika vya zimamoto vinaendelea na jitihada za kuuzima moto huo. Chanzo cha moto huo hakijaweza kujulikana mara moja.

Hizi ni baadhi ya picha za jengo la PPF wakati likiwaka moto na baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo hilo...
Kikosi cha zima moto nacho kilifika na kuanza kazi ya kuuzima moto huo...

No comments:

Post a Comment