Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, May 19, 2013

HUYU NDIO ALIYENYAKUA TAJI LA REDDS MISS MOSHI 2013/2014 "WINLADY WHITE MUSHI"

 
 Mlimbende Winlady White Mushi ndie aliyefanikiwa kunyakua taji la Redds miss Moshi 2013. 

Hawa ndio warembo waliofanikiwa kuingia  tatu bora kwenye Redds Miss Moshi 2013 ambapo washindi hawa ndio wataiwakilisha wilaya ya moshi katika kumsaka Miss Kilimanjaro 2013..

Hawa ndio walimbende walioingia  tano bora kwenye Redds miss Moshi 2013 na kupata nafasi za kuweza kuulizwa na kujibu maswali ili kuweza kuwapata washindi watatu ambao wataiwakilisha wilaya ya moshi.

 
 Winlady White Mushi ambaye ndio Redds miss Moshi 2013/2014 akijibu swali.

 
Hawa ni baadhi ya warembo wa Redds kutoka katika wilaya tofauti tofauti mkoani Kilimanjaro ambao wataungana na warembo wa Redds Miss Moshi 2013 katika mtanange wa kumsaka Miss Kilimanjaro 2013..

  Winlady White Mushi "Redds miss Moshi 2013/2014" akionyesha kipaji chake na hapo alikua akicheza nyimbo yenye mahadhi ya kihindi.
 
Huyu ndio aliyekuwa Redds Miss Moshi 20122/2013 akisubiri kumkabidhi taji Redds Miss Moshi 2013/2014.

 
Presenters wa Redds Miss Moshi 2013/2014 wakiwa na washiriki wa Redds Miss Moshi waliofanikiwa kuingia tatu bora.

Hawa walikua ni baadhi ya wanafunzi kutoka chuo cha MUCCoBS wakishangilia kwa furaha baada ya Winlady White Mushi kutangazwa kuwa ndio mshindi wa Redds miss Moshi 2013/2014 ambaye mshiriki huyo ni mwanafunzi katika chuo cha MUCCoBS.

 Msanii aliyepamba jukwaa alikua ni Dully Sykes aka Mr. Misifaaa....

 Presenter mdogo lakini mwenye mambo makubwa aliyeweza kuhakikisha kila jambo analolizungumza litakua na umakini mkubwa na kuhakikisha kila aliyefika katika ukumbini wa Aventure Africa anapata burudani na kuondoka akiwa na hamu kubwa ya kuendelea kuburudika, alikua ni Kacim Mwinyi maarufu kama Babi D'e Conscious.

No comments:

Post a Comment