Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, May 4, 2013

MFAHAMU KAPUKU DIGITAL NA NGOMA ZAKE KALI KATIKA KUFANYA MPINDUZI KUPITIA MUZIKI...!

Rapa machachari kutoka mkoani Arusha Kapuku Digital a.k.a Mitishamba
boy anatarajiwa kuachia mixtape gumzo inayo kwenda kwa jina la KABURI
LA FISADI Vol.1 ambayo inatayarishwa nastudio mbali mbali za jijini
Arusha mixtape hiyo imesha kamilika kwa sasa ipo katika hatua za
mwisho za kuachiwa kwenye mitandao. Kapuku ni rapa machachari sana
anayetisha kwa street mixtape na GANG RAP kapuku amehit mtaani kwa
nyimbo zake kama MUNGU NIPE A TOWN nanyingine nyingi

DOWNLOAD TRACK YA MAPINDUZI HAPA http://www.hulkshare.com/vuitxxoq2oe8

LIKE FB PAGE ILIUPATE KINACHOENDELEA www.facebook.com/kapukudigital


"UJUMBE ALIOANDIKA MANAGER WA KAPUKU FB"
.....KIAMA ARUSHA CHA TANGAZWA............KABURI LA FISADI KUCHIMBWA ARUSHA
kutoka ARUSHA msanii na mhuni kutoka mkoani ARUSHA kaamua kumsaidia MH
LEMA na wanaharakati wote wa maendeleo mjini ARUSHA kwa kupambana na
mafisadi kwa kupitia mziki hatua hii imechukuliwa na masanii huyo
baada yakuona lema anaandamwa sana na chama tawala,serikali na baadhi
ya watu wasio penda maendeleo jijini arusha hivyo basi ameamua
kutengeneza kombora la kisiasa litakalo lipuka siku yoyote muda wowote
kuanzia sasa, pia amesema anataka aonyeshe utofauti zaidi kati ya
wasanii wa daslam na wa arusha..kombora hilo pia lita mHenzi mkuU wa
wamajeshi, HIp Hop legendary father Nelly,Sokoine na mwl
nyerere..mixtape hiyo imesha anza kua gumzo baada ya Msanii kapuku
kuachia track chache zilizopo kwenye mixtape kama Mungu nipe A
town,bongo fleva mabuzi,Mapinduzi,KAMA WEWE NI FISADI NJOO, na Fisadi
get out the way pumbavu, MIXTAPE HIYO IMETENGENEZWA KUTOKA KWENYE
BEATS ZA ZAMANI ZILIZOTENGENEZWA NA MAPRODUCER MAHILI HUKO
MAREKANI..HAKIKA UKISIKILIZA TRACK YAKE
MOJA LAZIMA UTASIKILIZA NA NYINGINE INAYO FWATA.
kwa taarifa zaidi tembelea
facebook/kapukudigital
twitter/kapukudigital
hulkshare/kapukudigital
LIKE PAGE YAKE UWEZE KUPATA NYIMBO ZAKE PINDI ZINAPO TOKA TUUUUUUU

No comments:

Post a Comment