Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 17, 2013

PICHA: LIVE SHOW YA #THEFINEST YA MWANAFA ILIYOFANYIKA IJUMAA NATIONAL MUSEUM …!

MwanaFA was bringing back the good music … Jana alipiga bonge ya live show na WANANJENJE, MANDOJO & DOMOKAYA na wasanii wengine kibao … It was HIP-HOP at its BEST !!! Mitaa ya MAKUMBUSHO (town) kulifunikwa na SUITS & TIES za hatari pamoja na akina dada waliopendeza sana …
KAMA ZAMANI, ngoma inayosumbua sana hivi sasa ilikuwa inapigwa LIVE jana huku watu wakiwa smart ajabu on stage pamoja na audience generally … HE really brought it down … #THEFINEST ….
Tazama baadhi ya picha katika show hiyo hapa chini ;
No comments:

Post a Comment