Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 17, 2013

PICHA:DR. NCHIMBI AWAFARIJI WAHANGA WA BOMU NA KUTEMBELEA SEHEMU ILIYOLIPULIWA BOMU ARUSHA..!

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbi akiwa katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA
 Askali wa JWTZ wakikagua gari la matangazo la chama cha chadema ambalo lilipigwa risasi kwenye tenki la mafuta lengo likiwa lilipuke, katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu na mashambulio ya risasi wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dk. Emmanuel Nchimbiametembelea wahanga wa mlipuko na shambulio la risasi vilivyotokea katika viwanja vya Soweto Arusha wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA
Askali wa JWTZ wakikagua gari la matangazo la chama cha chadema ambalo lilipigwa risasi kwenye tenki la mafuta lengo likiwa lilipuke, katika viwanja vya Soweto Arusha palipotokea mlipuko wa bomu na mashambulio ya risasi wakati wa kufunga kampeni za kuwania udiwani wa kata za jijini arusha za chama cha CHADEMA

No comments:

Post a Comment