Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, September 16, 2013

BAADA YA MANENO MANENO KUHUSU LUCCI NA JOKATE, HATIMAYE LUCCI AVALISHA PETE MWANAMKE AMPENDAE


Mtu wangu wa nguvu unaweza kujiuliza huyu shemeji yetu alikuwa na hali gani kipindi kifupi kilichopita wakati Kaka Dada,Lucci Jokate ndiyo headline kila sehemu. Lucci anaongezea,”Unajua ukishakuwa kwenye mapenzi na mtu anayejitambua na anafahamu kazi yako. Basi atafahamu kabisa entertainment inahitaji vitu tofauti ili kufanikisha. So mimi na yeye tuliongea kwamba muda huu tunaitoa kazi ya kaka dada na plan nzima alikuwa anaijua. So hakukuwa na tatizo lolote”
Kama unataka kujua upande wa pili wa Lizzyblazzer, Lucci anatuelezea kuhusu mchumba wake,”Lisa ni director wa kampuni yetu mimi na yeye inaitwa Tsere. Kazi tunayofanya ni creative and marketing, pia anafanya kazi ya HR kwenye hii kampuni”

Oky, so kumaliza mawazo mengi ambayo watu walikuwa nayo kuhusu Jokate na Lucci. Kaka Dada ni kaka na dada kweli, ule ulikuwa wimbo tu.
Tunasubili Jokate na yeye atuwekee wazi shemeji yetu…JUST KIDDIN’
Yanayoendelea twitter.

LUCCI akimvalisha mchumba wake pete.


No comments:

Post a Comment