Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, September 16, 2013

RAIA WA MALAWI WAMIMINIKA OFISI ZA UHAMIAJI DAR KUJIORODHESHA JUU YA UHALALI WAO WA KUISHI TANZANIA


Raia wa Malawi wakiwa katika foleni ya kuingia kujiandikisha katika Idara ya Uhamiaji, Mkoa wa Dar es Salaam jana kuhusu zoezi linaloendelea la kuwatambua wahamiaji haramu jijini Dar es Salaam. Mamia ya wakazi hao walimiminia katika ofisi hizo leo kujiorodhesha ikiwa ni agizo la Rais Jakaya Kikwete. 

Akina mama na watoto wakisubiri kujiorodhesha.

Ofisa wa Uhamiaji akiwaelekeza jambo Raia wa Malawi.

Chanzo: Father Kidevu

No comments:

Post a Comment