Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, September 28, 2013

USIKOSE TAREHE 29 OCTOBA KWENYE "BACK TO THE SUA SEASON 2 EPISODE 2"


YECHU! YECHU! YECHU....!!!

HII HAILIPIWI HATA KUMI ARIFU YAANI KIINGILIO NDO KITU HAMNAGA.

Pale Pale fasi ya KIJENGE JUU mwisho wa daladala
mkabala na kwa kina Elia Huu na fundi Seremala.....
Graffiti kwenye kila pande ya Ukuta, Dj kwa fasi, Freestyle Battle na Mamistari ya Hatari Hatari...!!!

Jivunie kuwa Arusha, Jivunie Kuwa HipHop

WOOTE MNAKARIBISHWA IBUKA CHALIANGU..!
MSHTUE NA BEIBE MTIMBE KIJENGE YA JUU...

No comments:

Post a Comment