Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, December 26, 2013

KARIBU NDANI YA BOTANICA GARDEN KILI FM RADIO KWENYE "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL" LEO TAREHE 26 DESEMBA 2013

Hilo ni gate la  BOTANICA GARDEN KILI FM RADIO ambapo ndani ndio kuna  "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL"

 Hawa ni baadhi ya watu wanaohakikisha kuwa ukiingia katika geti la BOTANICA GARDEN KILI FM RADIO unapata mshikaki bure.

Haya ni maandalizi ya awali ya misshkaki ndani ya BOTANICA GARDEN KILI FM RADIO..

Huyu anaitwa KUKU JAMAICA pia anapatikana ndani ya "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL"

Ukila nyama choma ukashiba pia unaruhusiwa kwenda kuogelea katika sehemu hii ya kuogelea iliyopo ndani nya BOTANICA GARDEN KILI FM RADIO.

Hawa ni baadhi ya watu wanaoingia na kupatiwa mshkaki na kuendelea kufurahia "The Nyama Choma Festival"

 HWatu wanaendelea kuingia kwa kasi sana Teacher ama MC nae tayari yupo ndani ya "The Nyma choma Festival"
Duh... hata Sweetheart Mmary naye tayari yupo ndani ya "The Nyama Choma Festival"

 
Kwa wale wenye watoto pia wana sehemu zao za kucheza.

WOTE MNAKARIBISHWA NDANI YA "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL"


No comments:

Post a Comment