Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, December 26, 2013

UPDATE: KARIBU UFURAHIE "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL" NDANI YA BOTANICAL GARDEN KILI FM RADIOVijana wa mjini Moshi wakifurahi ndani ya The Nyama Choma Festival.


Baada ya nyama choma mpango mzima unakuwa ni vinywaji baridiiii.


 Raha juu ya raha na washkaji ndani ya nyama choma festiva
 hujachelewa mishkaki bado inatolewa kwa yeote atakayeingia kufurahia nyama choma festival
HK na ndugu zake pia walikuwepo kwenye nyama choma

Dada Maria naye alikuwepo jamaniiii..
 

Titus na shemeji nao walikuja kufurahia nyama choma na bia.

  Nyama Choma na Bia pamoja na mzki mzuri lazima watu waoneshane viwango vya kusakata rumba.. 

George, Jofa na Glory Ndosi Managing Director wa THE NYAMA CHOMA FESTIVAL.

KARIBU SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA.....
"THE NYAMA CHOMA FESTIVAL"

Wakazi wa Dar es Salaam wakae tayari kwa Nyama Choma Festival tarehe 8 March 2014.

No comments:

Post a Comment