Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, December 22, 2013

MOSHI KAA TAYARI KWA "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL" NDANI YA KILI FM BOTANICAL GARDEN TAREHE 26 DECEMBER 2013

 Kuku waliochomwa kitaalamu kama hawa watakuewepo. 


 Nyama ya mbuzi tamu na lainiii kama hii itakuwepo..

 Mitura mikubwa na mitamu pia itakuwepo na kwa bei poa.
 Nyama choma ya ng'ombe pia itapatikana pale pale katika Botanical Garden.

Popote ulipo kama wewe ni mkazi wa Moshi au unaishi maeneo ya karibu na mji wa Moshi unakaribishwa kwenye "THE NYAMA CHOMA FESTIVAL" siku ya alhamisi tarehe 26 Desemba 2013 pale ndani ya "BOTANICAL GARDEN" iliyopo kwenye uwanja wa "KILI FM RADIO" maeneo ya soweto mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Kwa kiingilio cha elfu tano tu (5,000/=)

Njoo tufungue zawadi za Christmas pamoja huku tukila nyama choma zilizochomwa na mabingwa na wataalamu wa kuchoma nyama Tanzania nzima huku tukishushia na vinywaji baridi. Njoo wewe na mwenzio tufurahie pamoja msimu wa sikuu na THE NYAMA CHOMA FESTIVAL. Ukifanikiwa kuipata habari hii mfahamishe na mwenzio kuwa sasa ni zamu la wakazi wa Moshi kufurahia nyama choma.

No comments:

Post a Comment