Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, March 27, 2014

Familia ya Dr. Timizaeli Sumuni na Adv. Sylvia P. Shayo Wanampongeza Mtoto Wao Nagoly Sumuni Kwa Kufikisha Miezi 9

Nagoly Sumuni.

Familia ya Dr. Timizaeli Sumuni na Advocate Sylvia P. Shayo wanaoishi Longuo A, mtaa ya Mwenge, mjini Moshi wanafuraha kubwa sana kumpongeza mtoto wao mpendwa Nagoly Sumuni Kwa Kufikisha Miezi 9. Wanamshukuru Mungu kwa kila jambo na pia wanamtakia mtoto wao maisha mema na marefu.

Hongera sana Nagoly Sumuni.

No comments:

Post a Comment