Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, March 8, 2014

KAMPUNI YA MEGATRADE YATOA VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU YA POLISI KILIMANJARO NA MACHAVA FC

 Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama jezi zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
 
 Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama Mpira ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi  daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.
 
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama akimkabidhi jezi nahodha wa timu ya Machava ,Dickson Muganda.Jezi hizo zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 zimetolewa na kampuni ya Megatrade ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu hiyo inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.

 Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway  akikabidhi hundi ya sh Milioni 3 kwa mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka.

Meneja masoko wa kampuni ya Megatrade (T) Ltd,Goodluck Kway akimkabidhi kamanda wa Polisi, Robert Boaz jezi zenye thamani ya kiasi cha sh Milioni 3 ikiwa ni sehemu ya msaada kwa timu ya soka ya Machava fc inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa wa Kilimanjaro.shoto kwake ni Meneja mauzo wa Kampuni ya Megatrade(T)Ltd kanda ya kaskazini Edimund Lutaraka. 
 

 Viongozi wa klabu ya Polisi Kilimanjaro.
 
Viongozi wa timu ya Polisi Kilimanjaro wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya Megatrade(T)Ltd muda mfupi baada ya kukabidhiwa zawadi.
 
Source: mrokim.blogspot.com

No comments:

Post a Comment