Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, March 31, 2014

PICHA 32 ZA SHEREHE YA KUWAPONGEZA WACHEZAJI WA PANONE FOOTBALL CLUB

 
Manager wa Panone & Company Ltd akifanya utambulisho.

 Kombe walilozawadiwa Panone FC baada ya kutangazwa mabingwa wa mkoa wa Kilimanjaro.
 Baadhi ya viongozi wa KRFA na wanakamati.

Mtangazaji Maarufu wa Habari za Michezo ndugu Kipese

Baadhi ya wachezaji wa Panone FC.
 Wageni waalikwa.
 Frank na Babi wakijiandaa kufungua shampeni.

 Viongozi wa timu ya Panone wakifungua shampeni

 Vinywaji vilikuwa vyakutosha.

 Wafanyabiashara wakubwa Moshi wakiwa meza kuu wakigonga Chears Pamoja na Mgeni Rasmi.

Mudwa wa burudani ukawadia na watu wakamuona Gold shine kwenye stage.

 Uzalendo ukamshinda Babi D'e Conscious ikabidi afungue Pochi na kumpunguzia Gold shine pesa 

 Kina mama nao wakamuelewa kijana na kwenda kumtunza.

Burudani ikaendelea kwa kiwango cha juu sana

 Wakati wa chakula ukawadia na watu wakajumuika pamoja.

 Neno la shukrani likatolena na Gido marandu ambaye ni muwakilishi na manager wa Panone & Company Ltd.

 Muda wa muziki ukawadia..
*****

Tunawatakia Panone Football Club mafanikio mema katika kuuwakilisha mkoa wa Kilimanjaro katika Hatua inayofuata.

No comments:

Post a Comment