Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, May 11, 2014

SHUHUDIA PICHA 20 KATIKA KUMSAKA REDD'S MISS HAI 2014

Huyu ndio Redd's Miss Hai 2014, Neema Swai.

Upande wa kushoto ni muwakilishi kutoka TBL akimkaribisha mgeni rasmi ili aweze kufungua mashindano ya Redd's Miss Hai 2014.  Ambapo mgeni rasmi alikuwa ni hakimu wa wilaya ya Hai Bwana Dennis ambae alimuwakilisha mkuu wa wilaya ya Hai ambaye alishindwa kufika. 

Warembo wa Redd's Miss Hai 2014 wakitoa burudani.

Warembo wa Redd's Miss Hai 2014 wakiwa katika vazi la jioni.
 
Warembo wa Redd's Miss Hai 2014 wakiwa katika vazi la ufukweni.

Baada ya mchujo walibakia walimbende watano kati ya kumi na mmoja waliokua kwenye kinyanganyiro hicho. 

Baada ya warembo watano kuuliswa maswali na majaji warembo wengine wawili walitupwa nje ya mashindano na kubakizwa warembo hawa watatu. 

 Mshindi wa tatu, Redd's Miss Hai 2014 ni Navia Samwel, na mrembo huyu ndie aliyefanikiwa kunyakua taji la Miss talent wilaya ya Hai.


 Huyu nimshindi wa pili, Redd's Miss Hai 2014, Neema Lema.

Aliyefanikiwa kunyakua taji la Redd's Miss Hai 2014, ni Neema Swai.

Hawa ni baadhi ya watu waliokuwa ukumbini wakifuatilia kwa makini kinyang'anyiro cha kumsaka Redd's Miss Hai 2014.

Huyu ndie mlimbende aliyenyakua taji la Miss talent katika wilaya ya Hai, Navia Samwel ambaye pia ni mshindi wa tatu.

Jackline Chuwa ambaye ni muandaaji wa miss Kilimanjaro  alipata nafasi ya kuongea machache kuhusiana na mchakato mzima wa mashindano ya kuwatafuta walimbwende, na pembeni yake ni papa Mwandago ambaye ni muandaaji wa miss Arusha na miss kanda ya kaskazini.

Jaylone ni msanii ambaye leo nyota yake imeweza kung'aa sana kwa kukubalika na mashabiki pamoja na kutunzwa na pesa nyingi kuliko kawaida.
Wakati Jaylone anaimba shabiki mmoja anayefahamika kama Dullah Boy (aliyevaa kamtula na kofia nyeusi) alipanda jukwaani na kitita cha pesa na kuanza kumrushia Jaylone zaidi ya lakini mbili za kitanzania kitendo ambacho kiliwashangaza watu wote waliokuwa ukumbini hapo. 

Prince Dully Sykes nae alitoa burudani ya nguvu.

Shuhuli nzima ya kumsaka Redd's Miss Hai 2014 iliendeshwa na Presenters wawili ambao ni mwanadada anayefahamika kama Mzungu na Babi D'e Conscious.

 Babi D'e Conscious akiwa na Mohamed Waziri maarufu kama Dj Virus.

Swala la ulinzi na usalama pia lilikuwa vizuri sana.

No comments:

Post a Comment