Kidumee ndiye mshindi wa kilinge cha - Maskani Huru Street College, kilichofanyika eneo la Majengo mjini Moshi.
Hawa ni baadhi ya wasanii ambao walishiriki katika kumsaka mkali wa mistari kwenzi.
Ibraa akifanya yake.
Kidumee baada ya kutangazwa mshindi alipewa Tshirt yenye maandishi ya Black Market Music, na pia alipata nafasi ya kuwaimbia mashabiki wake wimbo mmoja.
Ras KENOO ndiye aliye andaa kilinge cha - Maskani Huru Street College
Hawa ni baadhi ya wasanii ambao walishiriki katika kumsaka mkali wa mistari kwenzi.
Hawa ndi wasanii waliofanikiwa kuingia tatu bora, kutoka kushoto ni Ibrazo, Sir Dot na Kidumee.
Kidumee akiwaburudisha mamia ya watu waliofika kilingeni.
Sir Dot akighani kwa hasira kali.
Kidumee baada ya kutangazwa mshindi alipewa Tshirt yenye maandishi ya Black Market Music, na pia alipata nafasi ya kuwaimbia mashabiki wake wimbo mmoja.
Ras KENOO ndiye aliye andaa kilinge cha - Maskani Huru Street College
Baadhi ya waliohidhuria kwenye kilinge.
Mahudhurio ya kilinge yalivyokuwa.
Evance Lyatuu wa Moshi FM alipata nafasi ya kusema kidogo.
Babi, Mpepei na Dj Virus ndani ya kilinge cha Maskani Huru Street College.
No comments:
Post a Comment