Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, June 17, 2014

MAREKANI YAVUNJA REKODI KOMBE LA DUNIA KWA KUIFUNGA GHANA GOLI LA MAPEMA ZAIDI KATIKA SEKUNDE YA 32








Timu ya taifa ya marekani imevunja rekodi katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea kutimua vumbi nchini Brazil kwa kufunga goli la mapema zaidi tangu michuano hii ya kombe la dunia 2014, goli lilifungwa sekunde ya 32 na mshambuliaji Clint Dempsey ambaye anakipiga katika katika ligi kuu ya Uingereza.

Mchezo huo uliopigwa katika uwanja wa Arena das Dunas ikiwa ni mwendelezo wa michuano hiyo inayoendelea nchini Blazil ambapo katika mechi ya awali ya kundi G ,kundi lenye timu za Ujerumani,Ureno,Ghana na Marekani timu ya ujerumani ilibamiza timu ya Ureno kipigo cha mbwa mwizi kwa kuipa kipigo cha jumla ya mabao 4 kwa o 

hiki hapa kikosi cha Ghana na USA na mfumo walioanza nao

referee :


                     Jonas Eriksson (Sweden)





line-ups :
[ 4-2-3-1 ]
[ 4-1-2-1-2 ]

Adam Larsen Kwarasey

Tim Howard

Kwadwo Asamoah

Matt Besler

Daniel Opare

Fabian Johnson

John Boye

Geoff Cameron

Jonathan Mensah

DaMarcus Beasley

Sulley Ali Muntari

Michael Bradley

Andre Ayew

Alejandro Bedoya

Jordan Ayew

Kyle Beckerman

Christian Atsu

Jermaine Jones

Mohammed Rabiu

Clint Dempsey

Asamoah Gyan

Jozy Altidore
coach :

Kwesi Appiah

Jurgen Klinsmann


No comments:

Post a Comment