Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 30, 2014

SHUHUDIA PICHA 25 ZA YALIYOJIRI KWENYE KILINGE CHA "MASKANI HURU STREET COLLEGE"

C.E.O wa Black Market Music  na pia ndie Muanzilishi na msimamizi wa Kilinge cha MASKANI HURU STREET COLLEGE anafahamika kwa jina la RAS KENOO.

 Tungo Chafu (watoto wa kaskazini) wakifanya yako kwenye kilinge cha Maskani Huru Street College.
 
 
 


  

 
 Watu waliegesha usafiri pembeni na kujumuika kwenye kilinge.


 
Babi D'e conscious na Pascal mzee wa chimbo ndani ya kilinge.


 
 Popii nae alikuja na style tofauti ya mavazi.

Kilinge kilihudhuriwa na watu wa rika zote.

Ras Kenoo akiwakabidhi Wasanii Microphone ili waanze kufanya mitindo huru (free style) 

 Aliyevaa Tshirt nyeusi ni Sungura mkali wa hit song ya KIRAMBASI, nae alipata nafasi ya kuonesha uwezo wake Kilingeni.

 Black Spear kutoka KINGS nae alipata nafasi ya kushika MIC kwenye  kilingeni cha Maskani huru street college.

Raia wanampongeza Ras Kenoo kwa kum'beba juu.

Jamaa alipandwa na mzuka wa Hip Hop akajikuta ameanguka mtaroni bila kujitambua.
Jamaa anafanya juhudi za kutoka mtaroni aje kuendela kupata mzuka zaidi za hip hop.

No comments:

Post a Comment