Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, June 7, 2014

TAZAMA PICHA 35 ZA YALIYOJIRI NJE YA JUKWAA LA REDD'S MISS KILIMANJARO 2014

Jackline Chuwa muandaaji wa mashindano ya Redd's Miss Kilimanjaro.

Jenipher Kiwelu nakiwa na Maimatha.


Babi De councious akiwa na masanja .

 HK akiwa na ndugu na marafiki zake.

Julius ambaye ni Director wa Phijema Video Production akiwa na Masanja

 Ally akitofautiana lugha na muhudumu.  George, Allan na washkaji zao. 

Frank akiwa na shemeji.

 Innocent Macha akiwa na shemeji.
 
 Jack Chuwa akiwa na Jose Chameleone.

 Jose chameleone akiwapa burudani wakazi wa Moshi-Kilimanjaro.

 
 

 God Minja na mshkaji wake.

 Wachezaji wa Panone FC ya mkoani Kilimanjaro. Majaji wakifuatilia kwa makini walimbwende waliokuwa jukwaani wakigombea taji la Redd's Miss Kilimanjaro 2014.

 Masanja akimuombea Mandago  huku akiwa amemshika kichwa ili asije akachakachua matokeo.


Mama yetu na Bibi yetu nao walikuwepo.

Jenifer na masanja

Millah akiwa na rafiki yake.

 Muwakilishi wa Q-Wine Hotel akiwa na walimbwende.

Totolii Kimath nae alikuwepo.

Watu wote ukumbini walisimama wakati wimbo wa Taifa uliposikika.
 

Hawa ni baadhi ya watu waliokosa viti vya kukalia lakini hawakusita kukaa chini ili kuendelea kufaidi zaidi.

Umati mkubwa uliohudhuria katika Miss Kilimanjaro 2014.

No comments:

Post a Comment