Karibu ujipatie mashine kwaajili ya kupasua miamba, Kuchimba na kupakia vifusi. Mshine zote zipo kwenye hali nzuri na tunakodisha na kuuza pia. Mashine zote hizo zinapatikana kwa bei nafuu na tunakuletea popote ulipo. Kwa mtu yeyote anayehitaji hizi mashine anaweza kuja kuzikagua zipo Mbuyuni, Kunduchi jijini Dar es salaam.
Kwa mawasiliano piga namba 0716 127705 Rashidi
Karibuni sana.
No comments:
Post a Comment