Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, June 29, 2012

MPANGO MZIMA SERENGTI FIESTA 2012...!

 Kwenye picha ni Mratibu wa Fiesta "Sebastian Maganga" na aliyevaa
 tisheti ya serengeti ni brand meneja wa bia ya Serengeti Alan Chonjo. 
wakiwa na wadu wengine wa Serengeti.

Ebana eeeeee ule msimu wa kula bata ndo huooo kwenye kona
dizaini inakua hivi
tuna story kuhusu Serengeti Fiesta 2012 Muonekano Mpya  burudani ile ile bhaaasss

Shangwe zinaanzia Arusha kesho Jumamosi ya Kesho Kiwanja cha Mawingu club Hapo tunakutanisha vipaji
eh bana bhaaasss ni kucheza ku dance kuruka ngoma kiduku kibega mtindo mmoja hapo ni kattika mchakato wa kutafuta wakali watakao dance katika screen stage ya fiesta na jumapili ndo balaaa hapo ni washika mic hapo tunatafuta star wapya kwa mwaka huu wa 2012 ambapo watagonga ngoma kwenye jukwaa la kioo la Fiesta
xo wanyamwezi wa Arusha, R chuga, R yeyo, A masive, A town
Tukutane Mawingu Club buruani ile ile Bhaaassss

No comments:

Post a Comment