
Hali
   ya afya ya Dkt. Steven Ulimboka ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha   
Madaktari Tanzania, inaendelea vyema baada ya kushambuliwa na watu   
wasiofahamika usiku wa kuamkia jana jijini Dar es Salaam.
Dkt.
   Ulimboka aliokotwa jana akiwa hajiwezi na mwili ukiwa na majeraha  
mengi  baada ya kupigwa na watu hao na baade kufikishwa Hospitali ya  
taifa  Muhimbili na wasamaria wema. 
Ulimboka
   anaendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhumbili 
kitengo   cha mifupa MOI aliko lazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi
 (ICU)   huku jopo la madaktari Bingwa wakiendelea kumnusuru.
 
 
 
No comments:
Post a Comment