Hapa ni ndani ya Maisara na kuna watu wengi sana wakisubiri boti takribani nne zilizoenda kuokoa watu waliokuwepo kwenye Meli ya Seagul MV Skagit iliyozama mchana wa leo ikitokea Dar es salaam kuelekea Zanzibar, baada ya kupigwa na wimbi lililotokana na kuchafuka kwa bahari.
No comments:
Post a Comment