"UONGOZI WA MTANDAO WA www.kingjofa.blogspot.com
UNAPENDA KUSHIRIKI FURAHA KUBWA PAMOJA NA WANAOTEMBELEA MTANDAO HUU KWA
USHIRIKIANO WALIO ONYESHA TOKEA KUANZISHWA KWA MTANDAO HUU MPAKA HAPA
ULIPOFIKIA,,, KWA MAANA HIYO MTANDAO HUU UNAPENDA KUTOA PONGEZI KWA
WOTE BILA KUSAHAU KUWA UONGOZI WA MTANDAO HUU UNAAHIDI KUTO VOCHA ZA
MITANDAO YOTE SIKU UKIFIKISHA WATU LAKI MOJA (100,000) NA MPAKA SASA MTANDAO
UMESHATEMBELEWA MARA 99,440 NA MPAKA KUFIKIA KESHO NI DHAHIRI KUWA
UTAKUA UMEFIKISHA WATU LAKI MOJA, KWA WALE WOTE AMBAO WAMEKUWA
WAKIUTEMBELEA MTANDAO HUU WAKAE MKAO WA KUPOKEA VOCHA AMBAZO ZITAWEKWA
HAPA HAPA KWENYE MTANDAO HUU.... KARIBUNI SANA NA SHUKRANI SANA KWA
KUUTEMBELEA MTANDO HUU.... TUNAWAPENDA SANA."
No comments:
Post a Comment