Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi mwenyeji wake Sultani wa
Oman Qaboos bin Said Al Said katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman
jana jioni muda mfupi kabla ya dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa kwa
heshima yake.
Sultani wa Oman,Qaboos bin Said Al Said akimtunuku Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete nishani ya juu ya heshima, Taifa la Oman wakati wa dhifa
ya kitaifa iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais Kikwete na ujumbe wake jana
jioni katika kasri ya AL Alam jijini Muscat Oman.
Sultan Qaboos bin Said Al Said akimpongeza Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete baada ya kumtunuku nishani ya juu ya heshima ya Taifa la Oman
jana jioni katika kasri ya AL Alam. Jijini Muscat Oman jana jioni .Rais
Kikwete aliwasili nchini Oman jana jioni kwa ziara rasmi ya siku nne.
Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment