Picha
na Maktaba Barabara ya Darajani Visiwani Zanzibar. Askari wa kutuliza
ghasia wameshaanza kurusha mabomu ya machozi kutawanya kundi la uamsho
ambao wapo Barabara ya Darajani wanachoma matairi na kurusha mawe kwa
askari. Fujo hizo zimetokana na kukamatwa kwa kiongozi wa Uamsho Sheikh
Farid.
Chanzo cha habari hizi ni Mdau wetu Disminder Original kutoka Visiwani Zanzibar.
Tutaendelea kuwapa Update zaidi hapo baadae.
Hii ndio hali ilivyokua huko Zanzibar
Huyu
ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid
aliyekamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za
mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam.
No comments:
Post a Comment