Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, October 29, 2013

WADAU WA WANYAMAPORI WAKUTANA MKOANI KILIMANJARO LEO KUJADILI MBINU ZA KUKABILIANA NA UJANGILI DUNIANI

Kaimu Mkuu wa Chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama Pori mkoani Kilimanjaro (MWEKA), Dkt. Freddy Manongi akitoa maelezo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabili ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.
Wadau wa Uhifadhi wa Wanyamapori kutoka katika nchi 20 duniani, wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabiliana na ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.

Mmoja wa Wawezeshaji akiwasilisha mada katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabiliana na ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.

Sehemu ya wadau wa Uhifadhi wa Wanyapori kutoka katika nchi 20 duniani, wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabiliana na ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.
Kaimu Mkuu wa Chuo cha uhifadhi na usimamizi wa Wanyama Pori mkoani Kilimanjaro (MWEKA), Dkt. Freddy Manongi alkitoa maelezo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabiliana na ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama ssehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.
Sehemu ya wadau wa Uhifadhi wa Wanyapori kutoka katika nchi 20 duniani, wakifuatilia mafunzo katika Kongamano la kujadili changamoto na mbinu za kukabiliana na ujangili duniani, iliyofanyika katika ukumbi wa chuo hicho leo kama sehemu ya Maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Mweka.

No comments:

Post a Comment