Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, November 14, 2013

MJADALA KUHUSU MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE.

Katika kipengele cha HUYU NA YULE, wiki hii tuliungana na VIJANA WATATU Liberatus Mwang'ombe, Peter Walden na Ally Badawy kujadili MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE. 

Ali Badawi (kushoto), Peter Walden (kati(na Liberatus Mwang'ombe (kulia) wakiendelea na mjadala ndani ya studio za Jamii Production

Ulikuwa ni mjadala mrefu na huru ambao ulikuwa na mengi ya kufunza na Karibu uungane nasi.
Wakati tukimalizia mjadala kuhusu MAJUKUMU NA WAJIBU WA KIJANA KWA NCHI YAKE, Peter Walden alimuuliza Liberatus Mwang'ombe swali kuhusu kufunguliwa kwa matawi ya vyama vya siasa nje ya nchi.
Liberatus ni Katibu Mkuu wa Tawi la Chadema hapa Washington DC
Hapo pakawa na ka-mjadala kadoooogo ambako hata Ally Badawy na mwongozaji wa kipindi Mubelwa Bandio wakachangia.
Karibu usikilize

No comments:

Post a Comment