Muimbaji wa Afro Pop kutoka Naigeria anayefahamika kwa jina la Yemi
Alade baada ya kukutanishwa kwenye Coke studio waliamua na Diamond Platinum, waliamua kwenda mbali zaidi kimuziki, kwa Yemi Alade kuamua kumshirikisha Diamond Platinum kwenye album yake.
Isikilize remix ya wimbo wa "Kissing" kutoka kwa Yemi Alade aliomshirikisha Diamond Platnumz.
Isikilize remix ya wimbo wa "Kissing" kutoka kwa Yemi Alade aliomshirikisha Diamond Platnumz.
No comments:
Post a Comment