Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, September 21, 2012

HUYU NDIYE MSHITAKIWA ALIYETAPELI KAMPUNI KWA KUTUMIA JINA LA DR. ASHA ROSE MIGIRO ...!Mshitakiwa katika kesi ya utapeli dhidi ya Kampuni ya wakala wa kupakia na kupakua mizigo bandarini ya Mokha Agency Co. Ltd ya Dar es Salaam, aliyedaiwa kutumia jina la aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk Asha-Rose Migiro, Sharifa Kalala (nyuma) akiongozwa na askari wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam kwenda kupanda karandinga baada ya kusomewa mashitaka mahakamani hapo jana.

No comments:

Post a Comment