Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, July 27, 2013

Tazama picha za Mahafali ya Mafunzo ya Askari polisi na Askari wa Uhamiaji...!

Hili ni eneo la nje la chuo cha polisi Moshi Chuo Cha Polisi (CCP).

  Maelfu ya watu wakishuhudia Askari polisi wapya wakihitimu mafunzo.
 
Watu wakitazama baadhi ya mafunzo waliyopotia wahitimu hao.

Askari polisi wakiimarisha ulinzi wakati wa onyesho la uokoaji.
 
Askari wakifanya zoezi la uokoaji.

Askari walipata fursa ya kupiga picha na ndugu zao

 kikosi cha farasi kikionyesha uwezo wao

 Wageni waalikwa wakisubiri mgen rasmi.
 
 Mh. Emanuel Nchimbi akikagua miradi ya kuku.

 Mh. Nchimbi akifungua maji kama ishara ya uzinduzi wa kisima hicho.


 Mh. Nchimbi akisikiliza maelezo toka kwa muhitimu.

Mh. Emanuel Nchimbi ni akiwa na Mkuu wa wilaya ya Moshi na maofisa wa jeshi la polisi wakipokea maelekezo ya kuingia katika eneo la shamba la chuo.

 Mh. Emanuel Nchimbi akikagua Shamba la mboga.

Wanajeshi nao walikuwepo kuwapongeza wenzao.
 
 Askari polisi akipambana na wahalifu.

Askari polisi akiwa tayari kwa kupokea maagizo
 
Askari polisi akiwa kakamata jambazi

Askari akiwa amekamata dereva wa pikipiki aliyepakia abiria zaidi ya mmoja maarufu kama mshikaki.

Wahitimu wa Mafunzo ya Uaskari polisi na Uhamiaji wakipita mbele ya Mgeni Rasmi kabla ya kuonyesha jinsi ya kukabiliana na adui
 
askari polisi wakipita juu ya kamba.
 
kikosi cha Kutuliza Ghasia wakiwa tayari kwa kupokea Maagizo

 wahitimu wakionyesha igizo la haki za binadamu.
 
Aaskari polisi wakionyesha uwezo wa kumsafirisha jambazi kwa njia ya kamba kutoka gorofani
kikosi cha uokoaji kikimuokoa majeruhi toka gorofani kwa njia ya kamba.

 Askari wakionyesha uwezo wa kupambana katika karate
  
Na Chalii wa Moshi.
#teamKINGJOFA

No comments:

Post a Comment