Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, July 26, 2013

Wagombea urais Mali wafanya mikutano ya mwisho...!

Wagombea uchaguzi huko Mali wanafanya mikutano yao ya mwisho wakati nchi hiyo ikijiandaa kwa uchaguzi muhimu wa rais Jumapili.

Wagombea wapatao wanne wanafanya mikutano leo kusini mwa nchi ambako wapiga kura wengi ndiko waliko na ambapo maelfu ya raia wa Mali walikimbilia mwaka jana baada ya wanamgambo kuchukua udhibiti wa kaskazini.

Maafisa wa Mali wamekimbilia kugawa kiasi cha vitambulisho vya kupigia kura milioni 7  kabla ya upigaji kura kuanza. Makosa katika orodha ya wapiga kura na mambo mengine yamechochea shutuma za wizi na kutokuwa na uthabiti. 
 
Chanzo: Voaswahili

No comments:

Post a Comment