Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 25, 2013

ZIFAHAMU MBINU MPYA ZA UTAPELI MJINI...!"

Kuna utapeli wa hatari sana umeingia mjini. Watu wanajifanya wanauza Manukato (Perfumes) Wanachokifanya ni kukushawishi kuwa Manukato (Perfumes) hayo ni mazuri sana na kama unataka kuhakikisha unuse kipande cha karatasi ambacho wanakuambia wamekinyunyuziwa Manukato (Perfumes), kumbe kipande hicho cha karatasi kina dawa yenye sumu ambayo ukinusa tu unapoteza fahamu na hapo unawapa nafasi ya kukuibia ulicho nacho. Tafadhari kuwa mwangalifu unapokutana na watu kama hao.
Unaweza ku share au kuwatumia ndugu jamaa na marafiki zako ujumbe huu ili kuwanusuru.

No comments:

Post a Comment