Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, August 9, 2013

UPDATES:: TAZAMA PICHA NNE ZA MAANDALIZI YA MAPISHI SIKU YA EID....!

Hivi ni baadhi ya viungo vilivyowekwa tayari kwa ajili ya kufanikisha mapishi ya vyakula vitakavyoliwa leo katika kusherekea sikukuu ya eid.

Hii ni nyama ikiwa tayari imesha katwa katwa tayari kwa kuwekwa jikoni.

Picha ya juu ni Somjo akikatakata  karoti kwa ajili ya mapishi ya siku ya Eid.

Mapishi yanaendelea..

Muda muafaka umeshafika picha ya juu na chini ni Cassim Mwinyi akipata mlo wa mchana siku ya Eid.
MOSHI wakati waislamu wakifurahia kumalizika kwa kipindi cha mfungo wa ramadhani hatimaye leo ndio siku ya kusheherekea sikukukuu ya Eid ambayo ilikua ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana. Kila mahali ambapo chanzo chetu kimefanikiwa kupita asubui ya leo kimekutana na watu wakiwa kwenye pilika pilika za maandalizi ya kupika vyakula mbalimbali ili kuhakikisha familia zao zimeifurahia sikukuu ya Eid kwa kula na kunywa.

Mtandao huu wa www.kingjofa.blogspot.com unawatakia waislamu wote pamoja na wakristo heri ya sikukukuu ya Eid.

No comments:

Post a Comment