Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, July 16, 2014

HAYA HAPA‬ MATOKEO YA KIDATO CHA SITA (6) MWAKA 2014

 Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja ya I- III. 

Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825 - Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54 - Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.

 SHULE 10 ZILIZOONGOZA
 1. Igowole 
2. Feza Boys 
3. Kisimiri 
 4. Iwawa 
5. Kibaha 
6. Marian Girls 
 7. Nangwa 
8. Uwata 
 9. Kibondo 
10. Kawawa 

SHULE 10 ZA MWISHO :
 1. Ben Bella 
 2. Fidel Castro 
3. Tambaza 
4. Muheza High School 
5. Mazizini 6. Mtwara Technical 
7. Iyunga technical 
8. Al- falaah Muslim 
9. Kaulia 
10. Osward Mang'ombe

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA

ACSEE 2014 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
No comments:

Post a Comment