Baadhi
ya wadau wa masuala ya blog nchini wakiwa katika picha ya pamoja jioni
hii katika hafla fupi iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania kuwatunukia tuzo
maalum, zoezi ambalo limeahirishwa kutokana na ajali ya meli iliyotokea
mapema leo visiwani Zanzibar. Mpango mzima ulikuwa Serena Hotel - Dar
Mkurugenzi wa Masoko wa Vodacom, Kelvin Twissa (shoto) akiwa na Mmiliki wa Bongo5.Com, Mr. Luca
Issa Michuzi akiwa na mmiliki wa mtandao wa Zoom Tanzania.
Ofisa
Mkuu wa Uhusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba akiwa na Mkurugenzi wa
AIM Group, Nadeem Juma (kushoto) na mmiliki wa Hakingowi.com
Mzee
John Kitime (kushoto) akiwa na King Kif ambao ni wadau wa blog nchini
wakiwa na mwandishi Kelvin kutoka Mwananchi Communication
Issa Michuzi (kushoto0 akiwa na Mr. Luca wa Bongo5.Com
wadau mbalimbali wa blogs nchini wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment