Lori likiwa limeiangukia gari ndogo.
Lori lilivyopinduka kiubavu.
Mashuhuda wa ajali hiyo wakishangaa
 LORI aina ya lveco lenye namba za usajili T 223 BSY ambalo lilikuwa  likitoka lringa na mzigo wa mbao kueleka jijini Dar es Salaam jana  majira ya saa 2 usiku lilipoteza mweleko na kuliangukia gari ndogo aina  ya Toyota Cresta lenye namba za usajili T 233 ACY eneo la Area Five  jirani na kituo cha Mafuta cha Oil Com, Barabara Kuu ya Morogoro-Dar es  Salaam.
Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo.
No comments:
Post a Comment