Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 25, 2012

Picha za Wema Sepetu jana usiku wakati wa mapokezi ya Staa wa Nigeria Omotola

Posted: 24th June 2012 by MillardAyo
Red carpert ya nguvu Kempiski Hotel Dar es salaam.
Red carpert
Quick Rocka, Izzo B, Shaa na fan.
.
Izzo B na movie star Ray.
Ommy Dimpoz na B12 host wa XXL CLOUDS FM.
Host wa AMPLIFAYA ya CLOUDS FM Millard Ayo na Ommy Dimpoz.
Movie star Steve Nyerere na mpenzi wake.
Jay Gonga CEO na B12
Ombeni wa G5 Click, Perfect host wa CLUB 10 Clouds FM, Zamaradi Mketema na B12.
Waigizaji mbalimbali wa movie bongo.
Kilivyohappen
.
.
.
Wema Sepetu akizungumza muda mfupi baada ya watu kuchek sehemu ya movie yake mpya aliyoizindua ya Super Star, ni movie yake ya kwanza na ndani kuna mastaa kama T.I.D, Mr Blue, Barnaba, Hemed na wengine… baada ya hapa Wema alitangaza safari ya kwenda kumpokea Omotola.
Wema Sepetu na friends wakicheza ngoma iliyoandaliwa kwa ajili ya mapokezi ya Omotola Airport Dar es salaam, ilikua ni saa tisa na dakika ishirini usiku.
Movie star wa Nigeria Omotola Jalade alipofika Dar es salaam, hapa ni Airport.
.
.
.
.
Friends wa Wema, Wema na Omotola.
Waandishi wa habari wasiolala, hapa ilikua ni saa tisa na dakika 40 usiku.
.
.
.
Hili ndio gari lililombeba Omotola na Wema wakati wa kuondoka Airport.
.
.
.
.
Exclusive on millardayo.com Meneja wa Wema Sepetu Martin Kadinda amesema kiwango cha pesa kilichotumika kumleta Omotola Tanzania sio chini ya dola elfu saba za kimarekani zaidi ya milioni kumi za kitanzania.
Amesema “mwanzoni tulikua tunataka kumleta Genevieve Nnaj lakini alikua busy na ratiba, tukamtafuta Ritha Dominic lakini gharama zake zilikua juu alikua anataka dola elfu 23 za kimarekani, nikaona itakua ngumu kwetu kwa sababu tunafanya wenyewe bila kuwa na udhamini baada ya kuhangaika ndio tukampata Omotola.
Omotola atakuepo leo pale Girrafe Ocean View kwa ajili ya family day, toka jana alitakiwa kuwa kwenye uzinduzi wa movie lakini kutokana na kupata matatizo kwenye ubalozi wa Tanzania Nigeria alichelewa ndege na kuingia Tanzania usiku sana.
Omotola.

No comments:

Post a Comment